Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Saturday 8 April 2017

Mama mzazi wa moni centrozone amkanya mwanae kuimba

Mama mzazi wa msanii maarufu kutoka (Dodoma) anayejulikana kwa jina la moni centrozone amemkanya mwanae suala la kuimba mziki kwani mama Huyo anafofia mwanae kujiingiza katka matatizo,

Hili limejiri baada ya Roma na moni kupatikana baada ya kutekwa na watu wasiojulikana,

Suaala la kutoweka kwa akina roma, moni na wenzao wawili lilimpa wasiwasi mama mzazi wa moni pia mke wa roma nae alikua katika hali mbaya juu ya kupotelewa kwa Mme wake kipenzi suaala lililomfanya alie adi kushidwa kuongea

Hitimisho;mama mzazi wa moni centrozone hayupo tayari kuona mwanae anaimba.

Ww msomaji wangu unamaoni gani juu ya hili?

No comments:

Post a Comment