Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Wednesday 3 May 2017

Ray c akataa mapenzi

Manipulation wa mziki alimaarufu kama ray c akataa suala la mapenzi na kidai hayupo tayari kwa sasa kujihusisha na mapenzi na kudai kwa sasa mpenzi wake ni muziki,

Ray c amefunguka kwa kusema anataka kuufikisha muziki wake mbali yaani kimataifa,pia amesema kwamba anauchungu wa kazi kwani alipotea kwenye game ya muziki kwa muda mrefu,

Pia ray c amewataja wasanii anaowakubali ndani ya afrika mashariki na afrika kiujumla pia kidunia,ambapo kwa upande wa afrika mashariki amemtaja diamond,na afrika amewataja davido na tekno na vilevile upande wa kidunia anamkubali kanye west,na kufunguka kwamba anapenda hip hop pia.

Msanii huyo anarejea kwa kasi katika industry ya muziki kwa kuja na hit song yake inayokuja kwa jina  la 'unanimaliza' ambayo inafanya vizuri adi sasa.

No comments:

Post a Comment