Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Monday 1 May 2017

Muuza karanga Milionea

Unaweza usiamini ila ni kweli na inawezekana,katka jiji la dar es salam palkua na kijana mwenye umri wa miaka 18 aliyekua anajihusisha na biashara ya karanga ndani ya sted kuu ya jiji hilo,kijana huyo alkua ananunua kilo ya karanga kwa 2500/= kutokana na kipimo chake alikua anapata faida ya 2000/= na kwa kila siku alikua anauza kilo mbili,hivyo basi alikua anaingiza 4000/= kwa Siku.alikua ni Mtu mwenye kujinyima sana sio kijana wa starehe na hanasa zingne,kwa Siku alikua anatumia 1000/=kwa ajili ya kula kwani mara nyingi chakula chake kilikua mihogo ya mia mbili asubuhi na maji ya 100/= kwa mda wa asabuhi na mchana pia mihogo ya 200/= na maji kama kawaida yake,usiku pia alifanya ivo ivo, 100/= iliyobaki alikua anaiweka kwa ajili ya matumizi mengine kama sabun na kadhalka.

Aliendelea na biashara hiyo mpaka ilifika wakati mtaji ulikua na kuongeza karanga nyingi zaidi pia alianza kutembeza sigara ambapo ilimfanya apate faida Mara mbili zaidi awamu hii alikua anapata faida ya 8000/= kwa siku, alifanya ivo kwa miaka 4 bila kupoteza faida yake kizembe ambapo alijikuta anamiliki
11,880,000/= kwa kipindi alichohangaika.

Alipojikuta anamililiki hayo mahela aliamua kufungua duka Dogo la mafuta ya wakina mama na urembo kwa ujumla kitu kilichomfanya ajulikane na sana jijina hapo,alidumu na kazi hiyo kwa miaka miwili  ambapo alijikuta faida yake imekua zaidi ya mtaji na kuamua kuongeza ukubwa wa ofisi yake,

Angafungua na salon ya kina mama akapata umaarufu zaidi ya hapo mwanzo,na sasa ni mmiliki wa duka kubwa sana hapa Tanzania linalojihusisha na uuzaji wa bidhaa za kike,pia ni mmiliki wa supermarkets kubwa sana jijini dar,anamiliki gari ya milioni 100

Niambie umejifunza nini dondosha comment hapo,

No comments:

Post a Comment