Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Tuesday 2 May 2017

Maisha mazuri huletwa na mipango mizuri

Kamwe huwezi ukawa na maisha mazuri kama hujawa na mipango mizuri na thabiti,inakupasa kupanga mipango chanya kwa ajili ya maisha ya badae.

Mipango mizuri huvuta mafanikio na kukufanya uyaone mafanikio yapo karibu na wewe,ila usisahau mipango mizuri huambatana na uchapakazi,ubunifu na kujituma kiakili na kimwili.

Kujituma kiakili inamaanisha kwamba kutumia akili yako kwa maslahi na kutokuiruhusu izembee,ukiitumia akili yako vizuri katika suala la mafanikio lazima ufanikiwe na ukiitumia vibaya lazma udorore tu.

Kujituma kimwili in a Maana ya  kwamba kutumia nguvu na uwezo wako wa kimwili katika kufanikisha malengo yako.

Kwa machapisho mengine kama haya usisite kunifolo pia dondosha comment ile twende Sawa 

No comments:

Post a Comment