Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Wednesday 25 January 2017

Bifu la madee na nay wa mitego




Mastaa wawili wa miziki ya kibongo madee na nay wa mitego(true boy) wameingia katika bifu Kubwa,inasemekana bifu hiyo ni kwamba mastaa Hawa wanagombania uraisi wa manzese.


Nay wa mitego alipoulizwa kati yake na madee nani raisi wa manzese?
Nay alijibu kwa kusema swali hilo inapaswa waulizwe watu wa manzese ndio wanajibu sahihi.

Pia madee alipoulizwa hivo alidai wakuulizwa ni wakazi wa manzese
Pia madee alifunguka kwa kusema nay hawezi kuwa raisi kwani hawezi kutamka hata jina la nnchi yake yaani manzese yeye anasema madhese.

Kubwa zaidi wote wanamiliki silaa yaani kila moja anamiliki bunduki.

Inasemekana bifu hiyo inaweza kuwa kubwa kuliko bifu zote zilizowahi kutokea hapa bongo


No comments:

Post a Comment