Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Tuesday 24 January 2017

Maisha

Maisha ni safari yenye changamoto nyingi sana,tukiwa kama wasafiri hatunabudi kupambana na changamoto tunazokumbana nazo tukiwa safarini.Wengi wetu tunashidwa kufaulu mitihani tunayoipata tukiwa safarini,kwani wengi hukopi ya mwenzake bila kujua mitihani tunayopiwa haifanani.

Mambo ya kufanya ili kufikia malengo

1)kuwa na lengo
Ili kuyafanya maisha yako yaende sawa lazima ujiwekee malengo kwa ajili ya badae

2)weka akiba
Katika mizunguko yako ya kila siku jitahidi kuweka visenti japo kidogo kwa ajili ya baadae.

3)kuwa na mawazo chanya
Hapa naongelea mawazo binafsi,pesa kidogo uipatayo usiitumie ovyo na iweke kwa malengo.

4)epuka starehe
Starehe imewateka wengi na inawapotezea malengo yao hivyo basi epuka starehe

5)kuwa mjasiria Mali
Kidogo ukipatacho jaribu kukiwekeza katika biashara ndogo itakayokusaidia mambo madogomadogo

Ukifuata njia hizo naamini utayafikia malengo na maisha utayafurahia.


No comments:

Post a Comment