Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Saturday 28 January 2017

Haji manara kumposa wema

Afisa habari wa klabu ya simba haji manara ameahidi kumposa mrembo Wema sepetu ambaye ni star wa filam za kibongo ambaye aliwahi kuwa misi Tanzania.

Afisa huyo wa simba amesema kwamba "endapo Wema atakataa kuposwa na yeye basi atatembea na nguo za ndani kutoka msimbazi hadi ofisi za TFF.

Mpaka sasa Wema sepetu bado hajatoa jibu kamili kuhusiana na jambo hilo.lakini mashabiki wengi wa Wema sepetu wameonekana wakimshauri Wema kukubali kuolewa kwani umri unaenda kwa hiyo akubali tu kuolewa na afisa huyo.

No comments:

Post a Comment