Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Saturday 11 February 2017

Ujasiri wako mafanikio yako

Ujasiri ni ngao mhimu pindi utafutapo maisha yenye furaha na amani ndani,hupaswi kuwa muoga wa kujaribu,uoga wako ni kushidwa kwako.

Kila mmoja wetu anapaswa kuwa na ujasiri wa kujaribu mambo na sio uoga wa kutokujaribu mambo utakaopelekea kushindwa kufikia malengo yako.

Unapotaka kufanya jambo la maendeleo kamwe usiwe muoga jaribu kufanya jambo hilo,ni bora kujutia kwa kufanya jambo kuliko kujutia kwa kutolifanya.

Kumbuka:uwoga wako ni kufeli kwako kujiamini kwako ni kufanikiwa kwako.

Usisahau kulike na kukoment hapo chini ili kuniweka sawa na kunifanya nipate moyo wa kuandika machapisho haya

Pia unaweza kunifolow Instagram @jaysijah

No comments:

Post a Comment