Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Friday 14 April 2017

Bifu ya chemical na rose ree

Msanii chemical aingia kwenye bifu Kali na msanii mwenzake maarufuu kama rose ree,hii imejitokeza baada ya wasanii hao wa kike kupambanishwa na mashabiki wao.

Chemical aliliongelea suala hilo kwa kusema,nukuu "sitaki kupambanishwa na watoto" akimanisha mpinzani wake kwake ni mtoto tu.

Vilevile chemical aligusia suaala la wanamziki wanaoingia kwenye game kwa niaba ya kuwashusha wengine badala ya kupigana kufikia malengo.


No comments:

Post a Comment