Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Saturday 8 April 2017

Kupotea kwa msanii roma mkatoliki

Mwanamziki maarufu kama Roma mkatoliki hajulikani alipo kuanzia tarehe 5 ya mwezi huu,
Inasemekana kwamba msanii huyo alikua ndani ya studio ya Togwe records akiwa katika shughuli yake ya muziki,ndipo mtu asiyejulikana alipoingia ndani humo kwa madai anataka kuongea na roma, walitoka njee ili kuweza kuongea


Dakika kibao zikapita na roma hakuonekana kurudi ndani ya studio ndipo msako ukaanza adi Leo hii msanii huyo bado hajaonekana,inadaiwa kuwa Roma hajachukuliwa peke yake bali na wenzake watatu akiwemo moni.

Taarifa hizi zilipofika kituo cha polisi mkuu wa kituo aliahidi kwamba msako utafanyika na watu hawa wataonekana ndani ya masaa 48.


Ni maswali mengi yanagonga vichwa vya wengi maana haijulikani wasanii hao wamefanya nini na wakowapi pia haijulikani wameshikiliwa na nani.

Kwa habari zingne nyingi usisite kunifolo ili kuzipata tu pindi zinapowekwa hewani.

No comments:

Post a Comment