Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Monday 10 April 2017

Wajumbe wa kamati maalumu ya madini tanzania wateuliwa

Raisi John pombe magufuli  leo Jumatatu ameteua kamati maalum ya pili, itakayofanya uchunguzi wa madini yaliyomo kwenye mchanga, ndani ya makasha yaliyoko katika maeneo mbalimbali nchini humo.

Kamati hiyo inajumuisha wanauchumi pamoja na wanasheria wa kamati ya kwanza iliyoundwa na wataalamu wa masuala ya Jiolojia, Kemikali na uchambuzi wa kisayansi.
Image caption Orodha ya wajumbe hao yenye majina manane

Hayo ni kwa mjibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Wajumbe hao wanane walioko kwenye orodha hiyo, wataapishwa kesho Jumanne asubuhi katika Ikulu ya Rais Jijini Dar es Salaam.

Kwa habari zingine Tanzania na duniani kote usisite kunifolo ili kuzipata tu pindi zinapojiri

No comments:

Post a Comment