Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Tuesday 16 May 2017

Kilichomfanya H baba kukaa kando na muziki

Msanii wa zamani wa mziki wa bongo fleva maarufu kama H baba,afunguka sababu za yeye kujiweka kando na muziki.H baba amesema kuwa wasanii wa sasa same bite geneses team ambazo zinawaridisha wengine nyuma.

Pia H baba kaliongelea suala la team hizo kuwatukana wasanii wengine jambo linalosababisha wasanii hao kutokuendelea,

Pia amegusia suala la yeye kuhusu mziki na kusema,kwa sasa yupo bize na biashara zake na muziki kauweka kando,pia alisema hayupo tayari na hawezi kuunda timu zisizo na maslahi kwake,na badala yake kukashfu wasanii wengine.

No comments:

Post a Comment