Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Thursday 11 May 2017

Nedy music amjibu dogo janja

Siku chache zilizopita Dogo janja aliibuka na kusema hakuna msanii anayevaa vizuri hapa bongo zaidi yake, ndipo baadhi ya wasanii wakaja juu akiwemo nedy music ambapo alikanusha maneno ya Dogo janja na kusema Dogo janja yeye ndio hajui kuvaa,

Nedy music pia alisema kuna wasanii wanavaa vizuri zaidi akiwemo yeye na pia aliwataja wasanii kama Juma jux,g nako na wengine ambao anawakubali kimavazi.

Nedy music hakuishia hapo pia alizungumzia suala la Dogo janja kuvaa cheni nyingi.alisema
"Hakuna anachovaa Dogo janja zaidi ya cheni kilo Tisa" alisema nedy music,nedy hakusita kuongelea sehemu ambapo mavazi yake hutoka
"Mavazi yangu hutoka sehem mbalimbali nje na ndani ya Tanzania."

Usikubali kupitwa na habari za mastaa,http://jaysijah.blogspot.com
Pia like page kama bado.

No comments:

Post a Comment