Nimekusogezea habari za Tanzania na nje ya tanzania,pia story zote za mastaa wa bongo na njee ya bongo, "Ungana na mimi jaysijah uhabarike"

Breaking

Thursday 11 May 2017

Young dee:sijamtelekeza mtoto wangu.

Rapa toka tz alimaarifu kama young dee,amekua akiongelewa juu ya suala la mtoto wake ambapo inasemekana amemtelekeza mtoto wake,young dee amefunguka kwa kusema hajamtelekeza mwanae na yupo kwa bibi ake.

Msanii huyo ameeleza sababu kubwa ya kumpeleka mtoto wake kwa bibi ake mtoto huyo ni kwa lengo la mtoto huyo kupata malezi kama yake. Amedai mtoto wake atapata malezi ya kiimani kama alivyolelewa yeye,na pia kasema hajui malezi na hawezi kilea ndio maana kampeleka mtoto kwa bibi ake.

Inasemekana young dee amemtelekeza mama wa mtoto huyo na kwa sasa hayupo naye na kudai ni mshikaji kama washkaji wengne.

No comments:

Post a Comment